Tanzania ya Viwanda
Ni wakati muafaka wa kuangazia uzalishaji na kukua kwa pato la taifa kupitia sera mpya ya viwanda.
naipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania aw amu ya tano inayoongozwa na Mh. Dk John
Pombe Joseph Magufuli kwa kueza kuangalia upya swala la viwanda
Binafsi napenda sana kujiajiri, na nimalengo yangu kuanzisha kiwanda nchini Tanzania muda utakapowadia. Napendelea zaidi kuwekeza katika ufugaji wa nyuki kwa sababu huitaji mtaji mkubwa kama ilivyo kwa viwanda vingine.
Leo tutaangazia faida itokaayo na asali